Ninja wa Mapenzi

Eti kuna tetesi kuwa kuna ninja huyo kama jini mahaba vile, huko nchi za watu, akikukuta mida ya usiku anakuweka kona anakutolea mpanga wake, ukitaka usalama wako ni lazima ufanye nae mapenzi, ukikataa anakuua hapo hapo. Sipati picha ninja huyu angekuwa bongo, nahisi sisi ndo tungekuwa tunamtafuta.

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger