Ushauri wa bure kwa wamiliki wa Blogs Bongo
Habari za leo wapendwa wajasiriamali, ni matumaini mpo salama na mnaendelea vyema na pilikapilika za hapa na pale katika kujitafutia kipato na ujenzi wa taifa kwa ujumla. Leo nichukue fursa hii kuongea na wamiliki wa blogs hapa nchini kwetu. Takwimu za haraka zinaonesha kuna blog zilizofunguliwa toka Tanzania zaidi ya Elfu 10, lakini kati ya hizo zilikuwa hai mpaka leo hii hazizidi elfu3 ambazo angalau wamiliki hupata muda wa kuingia na kuandika chochote, Katika chache hizo Blogs ambazo zipo kibiashara hazizidi 500.
Najua unaweza shangaa vipi hazipo kibiashara wakati wenye nazo wameweka namba zao kwamba wanapokea matangazo na huenda kukawa na matangazo mengi tu, lakini ni ya bure kwa ajili ya kujijengea jina na hawana ushindani katika viwango vya kimataifa.................................
Inaendelea, tembelea www.wajasiriamali.com