Amfukia Mwanae kwa "Tamaa za Utajiri"

Katika harakati za kujitafutia utajiri, Njemba moja nchini Nigeria imemuua na kumfukia mtoto wake wa miezi minne kwa kile kinachodaiwa kujitafutia utajiri. Tukio hilo la kinyama limefanyika katika Mkesha wa mwaka mpya mpya. Hata hivyo siku chache zilizofuata kioja cha njemba hiyo kiligunduliwa na sasa yupo mikononi mwa vyombo vya dola.

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger