Majonzi Kaburini kwa Kanumba katika Siku ya Yake ya Kuzaliwa

Baadhi ya wanafamilia na wasanii wa Bongo Muvi juzi walikuwa katika kaburi alipolala Marehemu Steven Kanumba kuweka Mashada na Kuwasilisha hisia zao kwa nyota huyo ambapo siku hiyo kama angekuwa hai basi angejumuika nao katika kusheherekea siku yake ya kuzaliwa. Miongoni mwa wasanii hao ni Mainda na Johari.

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger