Mbwa anapogoma "Kunusa" Ushahidi

Kituko kimenaswa na Camera ya Mdaku Pale Mbwa wa Police huku Marekani walipogoma kunusa " JI CHUPI" chafu kama ushahidi ili baadae waanze kufuatilia nyenendo za mtuhumiwa huyo!! Mbwa huyo anayeaminiwa katika kitengo cha kunusa ( sniffing Dog )  alikuwa akigeuza sura kila mara Li chupi hilo lilipoletwa mbele ya sura yake!

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger