|
Beverly Sibanda |
|
Girls la Musica |
Makundi mawili mahisimu ya wanenguaji nchini Zimbabwe, hapa namzungumzia Berverly Sibanda na kundi lake la " Dancing Angels" na mahasimu wao Girls la musica, wamefunguka juu ya upinzani uliopo baina yao. Katika mahojiano yao kundi la Girls la Musica limesema kwamba hawatishiwi na Bev na kundi lake zaidi zaidi wanawaona kama watu wasiokuwa na maadili.