Timbulo na Skendo ya Madawa ya Kulevya
< div class="separator" style="border-bottom: medium none; border-left: medium none; border-right: medium none; border-top: medium none; clear: both; text-align: center;">
Habari ambazo bado hazijathibitishwa zinaeleza ya kuwa Msanii Ali Timbulo, maarufu kama Timbulo amekamatwa akiwa na mzigo wa madawa ya kulevya Nchini Burundi, Timbulo ambaye alikwenda nchini humo kupiga show kutokana na maombi ya wapenzi wake wa nchini humo.