Raisi Atoa Masaa 24 kwa "Mashoga" Kuondoka Nchini
--> Uamuzi huo ummfanya Raisi wa Gambia Yahya Jammeh kuonekana ana sera kali zaidi ya zile za Iran. Amesema ya kwamba Nchi yake ina misingi ya maadili na imani hivyo hawawezi kuvumilia tabia za kishenzi zikiendelea nchini humo. mwezi wa pili mwaka huu raisi huyo aliwafanya wenye tabia kama hiyo kukimbia nchi jirani na kuomba hifadhi pale alipowafunga wanandoa wawili wa jinsia moja.