D'Banj Atoswa na Mrembo Jukwaani
Wiki iliyopita, msanii wa Dance hall, Mkali D'Banj alipata fedheha ya aina yake alipokuwa akifanya show katika concert moja huko Lagos baada ya kumlazimisha mwanadada mmoja mrembo kucheza nae, baada ya mkali huyo maarufu kama Koko Master kumfuata mrembo huyo huku akidhania dem huyo atajirahisi, mrembo huyo alimtosa kiana jamaa, jamaa kuona hali inakuwa ngumu akamvuta dem stejin, hata hivyo fedheha hiyo iliongezeka mara dufu baada ya kupanda Njemba nyingine na Kumchukua mrembo huyo huku akisisitiza kuwa yule ni mke wake na jamaa D'Banj aangalie ustaarabu mwingine.