Amuua Mpenzi wake kisha kumtupa msituni, mwili waonekana baada ya siku nne

Kijana Jack Wall, 22, amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kumpiga na kumuua aliyekuwa Mpenzi wake, Amelia Arnold  baada ya kugombana nae na msichana huyo kumwambia ya kwamba waachane.

Mbali na Jack, Mtu mwingine aliyefahamika kwa jina la Joseph Potter naye ataungana nae kwa hukumu kama hiyo baada ya kupatikana na hatia ya kumsaidia mtuhumiwa katika kuutupa mwili huo porini.



Muuaji: Jack Wall
Marehemu Amelia enzi za uhai wake

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger