Baby Madaha Kuzichapa na Jackline Wolper.
Lile Bifu baina ya Baby madaha na Jack Wolper linazidi kuelekea pabaya. Vyanzo vya habari vya kidaku vimemkariri Baby Joseph, Maarufu kama Baby Madaha akiahidi kuzichapa na Mrembo mwenzie wa Bongo Movies, Jackline Wolper ikiwa haacha kumtupia maneno kila leo na kutaka kujipatia umaarufu kupitia yeye.