Kate Middleton Ajifungua Mtoto wa Kiume kwa Prince William, Mfalme Mtarajiwa apatikana.









Taarifa zinasema ya kwamba Kate Middleton, mke wa Prince William alijifungua mtoto huyo majira ya saa 2 asubuhi ya leo katika hospitali ya St Marry huko Paddington  baada ya kupelekwa hospitalini mida ya saa 12 na nusu asubuhi.

Mtoto huyo ametajwa kuwa mrithi wa kiti cha ufalme katika ukoo huo miaka ijayo. Mama mzazi na mwanae waote wanaendelea vizuri.

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger