Kumbu Kumbu ya Miaka ya 40 ya Bruce Lee, Zaidi ya Vitu 600 vyauzwa.!!
ARCHIVE PHOTOS/GETTY IMAGES
Jumamosi ya Jana yamefanyika maadhimisho ya Miaka 40 ya kumbukumbu ya Miaka 40 ya Mwigazaji mahiri na Mkali wa Martial Arts, Bruce Lee. Kupitia Taasisi ya Bruce Lee Foundation inayoongozwa na mwanae, Shannon Lee waliweza kuuza vitu zaida ya 600 ambavyo vilikuwa miongoni mwa vile alivyokuwa Bruce Lee Katika Movies zake.
Vitu hivyo ni pamoja na Track Suits za njano kama aliyovaa katika sinema yake ya "GAME OF DEATH, Mikanda, Picha, suruali na Viatu. Bruce Lee alifariki mwaka 1973 baada kusumbuliwa na Madhara ya Matumizi ya Dawa za Kupunguza Maumivu ambazo zilimletea Madhara Katika Ubongo.
Bruce Lee Alifariki akiwa na umri wa miaka 2, kipindi hicho alimwacha mwanae akiwa na miaka Minne(4) tu, Na Sinema yake ya Mwisho kuigiza ni "ENTER THE DRAGON" iliyotolewa Siku 6 baada ya Kufa kwake, sinema ambayo ilikuwa na imekuwa maarufu mno.
Shannon alipenda Ulimwengu utambue pia nafasi ya Bruce Lee kama Babab na Mzazi alikuwa na Mapenzi mazuri kwa familia yake mbali na uwezo wake mkubwa wa Kupigana (Martial Arts)