Mke Aliyemkata "Uume" Mumewe Ahukumiwa Kifungo cha Maisha
Catheria Kieu(50) ni Raia wa Marekani mwenye asili ya Ki Asia ambaye Mwaka 2011, mwezi wa 6 alimkata mumewe viungo vyake vya uzazi huku akisema "UNASTAHILI" kabla ya kumkata ikiwa ni wivu wa kimapenzi.
Kesi ya Mwanamke huyo imedumu kwa zaida ya miaka miwili sasa na hukumu imetolewa kwamba mwanamke huyo atumikie muda wa maisha yake uliobaki gerezani bila msamaha. Siku ya Tukio mwanamke huyo alimnywesha vidonge vya usingizi mume huyo katika kinywaji chake na kisha kumkata Kiungo hicho.
Wakili aliyekuwa anamtetea aliiomba mahakama kumfikiria mteja wake kwani yaliyotokea yalisababishwa na kutendewa visivyo na mume huyo na matatizo ya kisaikolojia na kiakili ya mwanamke huyo tangu utotoni.