"Obama na Mkewe ni Wabaya" Amanda Bynes
Muigazi wa Movie wa Hollywood Marekani jana amekitibua tena baada ya Ku Tweet katika page yake ya Twitter ya kwamba Rais wa Nchi Hiyo na Mkewe ni Wabaya. Binti huyu amewekwa katika kundi la watu wabaguzi kwani alishawahi kumtamkia maneno ya kibaguzi kama hayo Msanii Rihanna kwa Kumwambia "Criss Brown anakupiga kwa sababu wewe ni Mbaya"/
Baada ya kusema maneno hayo kwenda kwa Rais na Mkewe zaidi ya wafuasi wake 300 wameacha kumfuata tena kupitia twitter na ajiandae kukutana na mabaya zaidi. Unasema bwana "Obama" mbaya sijui?!!!