Diamond Ahudhuria Mazishi ya Mzee Sepetu, Awapa Makavu waliomkusudia Mabaya.
Msanii Nassib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz akiwa na kampan ya Zamaradi na Babu Tale waliweza kufunga safari mpaka Visiwani Zanzibar na kushiriki katika shughuli ya kumpuzisha Baba wa Muigizaji wa Bongo Movies, Wema Sepetu.
Mbali na kuhudhuria huko, Diamond ameacha Ujumbe katika Akaunti yake ya Instagram kwa baadhi ya watu wasiokuwa na nia njema nae. Soma zaidi hapo chini.
Babu Tale, Zamardi na Diamond ndani ya Zanzibar kwaajili ya mazishi ya Balozi Sepetu
Habari ndo hiyo kwa wazushi. Well done Prezident wa Wasafi na leo naona ametokelezea ki Al Haj zaidi.