Dilllish wa BBA The Chase Atupia Picha ya Utupu Mtandaoni
Kama ilivyo ada ya mastaa wa zama hizi, hauwezi kukamilika mpaka utuonesha utupu wako, hayo yamedhihirishwa na mwanadada ambaye jamii ilikuwa ikimpa heshima kubwa na hasa baada ya kunyakua ubingwa wa shindano la BBA The Chase, Dillish Mathews naye kuamua kutupia ka picha kikimwonesha sehemu kubwa ya maungo yake wazi.