Lady Gaga avaa Gauni la wazi, Huku akionesha Ka Bikini kwa ajili ya show ya X-Factor
Jana Usiku Lady Gaga alitua pande za London kwa ajili ya Performance katika X-Factor, katika kuonesha uchiz* wake alishuka pekupeku huku akivalia gauni lililokuwa likimuonesha maungo yake yote mpaka vya ndani, alifanya hivyo hata aliposhuka kuelekea hotelini na kuwasilimu mashabiki wake.
Angalia picha zaidi:-