Amshtaki Mkewe kwa Kumzalia watoto wabaya, Alipwa Fidia
Ingawa Uzuri wa mtu huonekana kwa ampendaye, hili limekuwa tofauti kwa mwanaume mmoja kutoka huko Kaskazini mwa China ambaye amemshtaki mkewe kwa kuwa mbaya kiasi kilichopelekea kuzaa watoto wabaya.
Awali alimtuhumu kwa kuwa na mahusiano nje ya ndoa yao na huenda watoto hao si wakwake, hata hivyo mwanamke huyo alikiri kuhusu mabadiliko ya sura aliyoyafanya kabla ya kukutana na mume wake huyo ili kuwa mrembo na hata baada ya kukutana na mumewe hakuwahi kumwambia ukweli.
Jaji alimwamuru mwanamke huyo kulipa Fidia ya Paundi 75,000 za Uingereza. Angalia picha zinavyomuonesha Mwanamke huyo kabla na baada ya mabadiliko hayo.
Kabla Baada