Angalia Picha katika Party ya Meneja wa Ommy Dimpoz ambapo ameahidiwa Kiwanja na Dimpoz






November 13 2013 Osterbay Dar es salaam ilifanyika party ya birthday ya Mubenga ambae ni meneja wa mwimbaji Ommy Dimpoz ambae baada ya kukata keki, Ommy ambae ni msanii wa pili Tanzania kulipwa pesa nyingi kwenye show (Milioni 8) kati ya wote  waliowahi kutangaza bei zao, alichukua mic na kutangaza kuhusu zawadi ya kiwanja alichokinunua kwa ajili ya Mubenga.
Miongoni mwa mastaa waliohudhuria hii party ni pamoja na B12 na Dj Zero wa XXL 88.5 Dar es salaam, Vanessa Mdee wa 102.5 Choice FM, Salama Jabir wa Mkasi ya EATV, Ay, Lamar, waigizaji Jackline Wolper na Kajala kama picha zinavyoonyesha hapa chini.
24
22
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
23
30
31
32
33
34

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger