Bibi kizee mchawi adondoka wakati akiwanga, aambulia Mkong'oto Mkali toka kwa Wananchi
Bibi mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika amesadikika kudondoka kichawi maeneo ya Tabata Kinyerezi Kisiwani baada ya wenzake aliodai kuwa nao kumuacha.
Bibi huyo ambaye amechezea kipigo toka kwa raia waliomtuhumu kuwa ni mchawi , amedondoka asubuhi ya leo katika maeneo hayo huku akionekana kutokuwa na kumbukumbu nzuri