Binti wa Urusi Aiweka mnadani Bikira yake kwa Tsh Milioni 40
Binti huyu wa kirusi ameuza bikra yake kwa TShs Milioni 42. |
Mrembo huyo wa kiserbia anejulikana kwa jina la Shatuniha alweka bikra yake kwenye mnada na kujitambulisaha kuwa ni "mpya" (new) na "hajatumika" (not used)".
Shatuniha mwenye umri wa maika 18 alisema ana shida ya muhimu na haraka sana na pesa na ndo maana amefikia hatua ya kuuza kiungo chenye thamani katika mwili wake na kuongezea kuwa yuko tayari kukutana na mtu anetaka kununua bikra yake hiyo haraka iwezekanavyo akaongezea kwa kusema hata kesho, na yuko tayari kwenda na ushaidi wa kitaalam ili amhakikishe mteja wake huyo kwamba kweli yeye ni bikra ili atolewe bikra hiyo na ili aptate hiyo pesa. Lakini alisisitiza malipo lazima iwe cash siyo cheque, card wala mkopo.
Baada ya watu wengi kujaribu kununua hatimaye mshindi akapatikana ambae ni Evgeniy Volnov na aliinunua kwa hela za kirusi 900,000.00 ambazo ni sawa sawa na hela ya kiingerea eflu 17 na karibia milioni 42 za kitanzania.
Hapa ndipo mnada huo ulipokuwa unafnayika |
Binti huyu alijielezea kwamba ni mtoto mzuri na hana tabia mbaya. |
Kweli duniani kuna mambo tena ya ajabu sana na ndo waswahili walisema ukistaajabu ya Musa utaona ya.......