HATIMAYE BIMP NA BEVERLY WA BBA THE CHASE WAWA WAP3NZ! RASMI


Baada ya tetesi kuvuma kuhusiana na washiriki hao wa Big Brother The Chase kuwa na uhusiano baada ya kutoka mjengoni hapo, taarifa zilizothibitishwa zimenena zaidi.

Bimp, mshiriki kutoka Ethiopia kwa sasa yupo nchini Nigeria na imeelezwa kwamba wawili hao wamekamatana kihaswa. Beverly anatarajiwa kwenda South Africa kesho kwa ajili ya tuzo za channel O.

Mashabiki wa Beverly wamefurahia hatua hiyo na kumwambia ya kwamba hapo amecheza heko na si kwa Kale ka Jamaa ka Afrika ya Kusini yaani Angelo.


Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger