Hii ndio ile Video ya Mapacha waliokumbatiana ambayo imetazamwa mara milion 4 ndani ya dakika 3.
Video hii ya hisia iliwekwa na Mwanamke ajulikanae kama Sonia Rochel tarehe 8 mwezi huu na ndani ya dakika 2 na sekunde 50 ilitazamwa mara Milioni 4 Huko You Tube, Ikiwaonesha mapacha hao wa kike na kiume wakiwa wamekumbatiana kiupendo huku macho yao yakiwa yamefungwa wakati wakiogeshwa kwa mara ya kwanza tangu kuzaliwa kwao.
Play Video hiyo hapa chini:-
kim