Kwa hili Wasichana Mmezidi, hadi dawa ya choo mnajisafishia Uso?!!!


Ama kweli Urembo ni gharama, katika hali ya kuhakikisha ngozi zao zinakuwa na kuzidi kuvutia, wasichana wa huko Nchini Africa Kusini wamekuja na staili mpya ya Kujipaka dawa maarufu kwa ajili ya kusafishia Masinki ya Vyoo na Tiles "Hand andy" na kuuchubua uso wao completely na kuwa kama karatasi.

Kweli Ukistaajabu ya Mussa........!!! Dada zangu wa KiBongo umeliona hili?!!! Akili ku mkichwa!!!



Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger