Miss Venezuela Gabriela Isler Ashinda Taji la Miss Universe 2013


Mashindano ya 62 ya urembo ya Miss Universe yamefanyika jana usiku kwenye ukumbi wa Crocus City Hall ndani ya jiji la Moscow nchini Urusi. Mrembo Patricia Yurena Rodriguez kutoka Spain aliibuka mshindi wa mashindano hayo, huku Constanza Baez toka Ecuador alishika nafasi ya pili. Manasi Moghe toka India naye alifanikiwa kuwemo ndani ya 10 bora za Miss Universe 2013.

Mshindi wa shindano hilo kwa mwaka jana Olivia Culpo kutoka Marekani alimvisha taji mrithi wake aliyetwaa taji hilo ambalo lilishindanisha warembo toka nchi 86 duniani, Tanzania iliwakilishwa na mrembo aitwaye Betty…

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger