AKON ANAHUSUDU WANAWAKE WENYE "INYE" KUBWA, KIAFRIKA ZAIDI
Mkali wa Muziki kutoka Nchini Marekani, Msenegal aliyelowea, Mkuu wa Convict label Akon ameuthibitishia Ulimwengu kuhusu asili yake ya kupenda na kusudu wanawake waliofungashia. Kiafrika zaidi, hayo yanakuja siku chache baada ya kusema kwamba kwa mwanaume aliyekamilika inakuwa ni ngumu kuwa na Mwanamke mmoja.