JACK WOLPER AWA MGENI RASMI KATIKA MAHAFALI YA CHEKECHEA ST. MATHEW



Jacqueline Wolper akitoa hotuba fupi katika mahafali hayo.
Akigawa vyeti kwa wahitimu.
Wolper katika picha ya pamoja na wahitimu.
Akiwa na walimu wa shule hiyo.
MSANII wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper jana alikuwa mgeni rasmi katika mahafali ya shule ya chekechea ya St. Mathew iliyopo maeneo ya Kinondoni Hananasif jijini Dar es Salaam.

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger