Maadhimisho ya Mwezi wa Thamani ya mwanamke, njemba zala skuna hadharani
Jarida moja nchini Afrika Kusini, Blaque, siku chache zilizopita lilichapisha toleo lililokwenda kwa jina ‘Men in Heels: Understanding A (Wo)man Better’, ambapo linahusisha wanaume ambao wamevaa viatu vya kike katika kusheherekea ‘Mwezi wa Wanawake’.
Add caption |
Baaadhi ya vikundi vya ushoga waliita kitendo hicho kama kitendo cha mashoga ila hakuna ishara iliyoonyesha kwamba jamaa hao kweli kuwa ni mashoga.
Angalia picha zaidi hapo chini;