Bebe Cool Awa Muuza Wine

Soko la bidhaa za vileo la kuagiza limeingia katika sura mpya baada ya mwanamuzi Bebe Cool naye kuingia katika soko hilo na lebo yake mpya ya Bebe Cool Red Sweet Wine. Hii inakuja siku chache tu baada ya mke wa Bebe Cool, Zuena kuwa mtengenezaji mashuhuri wa Keki nchini humo. Ingawa haijajulikana bado ni kutoka nchi gani mzee mzima anaziagizia lakini washauri wa mambo wamesisistiza hata kama ni sweet wine yapaswa kutumika katika kiwango cha wastani ili kupunguza uwezekano wa kusumbuliwa na maumivu ya kichwa kama yanayo msibu Bebe kama alivyotokea katika picha ya chupa hiyo.

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger