Iyanya Amwaga Yvonne Nelson


Kutoka Nchini Nigeria tuambiwa kuwa kidume Iyanya amemtema demu wake wa siku nyingi na kuelekeza majeshi kwa kisura anaye ng'aa katika tasnia ya Muziki nchini humo, Emma Nyra. Wawili hao wameonekana maeneo kadhaa wakila bata na 'kuinjoi' pamoja. Kinyume na watu walivyodhani kwamba njemba hiyo ilimwaga demu wake huyo sababu ya Mlimbwende Tonto Dike.

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger