Polisi wanapodai "Kuchezeshewa Inye"

Polisi nchini Zimbabwe imeshutumiwa kwa kitendo cha aibu kilichofanywa na baadhi ya askari wake pale walipomlazimisha mrembo mmoja nchini humo maarufu katika mitindo ya unenguaji na kucheza kihasa hasara awechezee wakati alipokamatwa na kuwekwa ndani kwa siku mbili.--> Wakati hayo yakiendelea kuna raia mmoja alikuwepo kituoni hapo na kufanikiwa kuzipiga picha hizo na kuziweka katika mtandao.

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger