Shule ya "Ukahaba" yafunguliwa Uhispania
Huko nchini Hispania imefunguliwa shule ya kutoa taaluma ya ukahaba ambapo mwanafunzi atatakiwa atoe Kiasi Cha Euro 100 tu kuanza mafunzo ambapo wamehakikishiwa upatikanaji wa kazi mara tu watakapohitimu mafunzo yao! Miongoni mwa mambo watayokuwa wanafundishwa ni historia ya mapenzi kupititia Mikao na Staili tofauti tofauti za KAMASUTRA na Midoli maalumu ya majaribio.
Matangazo ya shule hiyo yalianza kuonekana mwezi Mei mwaka huu na tayari imeshaanza uandikishaji na kupokea wanafunzi!
Matangazo ya shule hiyo yalianza kuonekana mwezi Mei mwaka huu na tayari imeshaanza uandikishaji na kupokea wanafunzi!