Ufuska wa "Wanavyuo"!
Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la vitendo vya ukahaba hapa nchini kwetu, katika kumbi za starehe na maeneo mbali mbali nyakati za usiku. Chakusikitisha ni kwamba wengi wa wanaohusika na watendo hayo ni wanfunzi katika vyo mbali mbali, wengi wao ukiwauliza watakwambia eti maisha ya chuo ni magumu na ndio maana wanaamua kujiingiza katika vitendo hivyo, na wachache hufuata mkumbo wa marafiki za kwani huwa wanatokea katika familia zinazojiweza tu kifedha na wanaouwezo wa kumkidhia mahitaji yake yote, Tamaa tu ndo tatizo maana wanachuo wengi wao hupenda kuishi maisha ya juu kupita uwezo wao!