Talaka ya Nora Marejeo katika Movie

Siku chache mara baada ya maisha ya ndoa kushindikana, Nyota wa filamu za kibongo, Nuru Nassoro 'Nora' amefunguka na kusema kuwa sasa amekewa huru na kuweza kufanya mambo yake kwa aman tofauti na ilivyokuwa kipindi yupo ndani ya ndoa. Picha kwa hisani ya global publishers.

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger