Dar Live Hapatoshi Msimu huu



Ukumbi maarufu wa burudani unaopatika Maeneo ya Mbagara Zakhem, unatarajiwa kuwa na burudani na balaa la aina yake msimu huu wa mwisho wa mwaka pale ambapo patawakutanisha wakali wa burudani, nawazungumzia Twanga Pepeta wakitushushia family Bonanza mnamo tarehe 16/12, 23/12 na 30/12 huku mkali Diamond platinumz akifanya balaa siku ya tarehe 25 yaani XMAS na singo yake ya nataka kulewa ikizundiliwa. Si hivyo tu bali tarehe 26, Boxing Day mabondia watazipiga kisha kupepewa na burudani toka kwa Jahazi Modern Taarab. Mzigo utashushwa tarehe 31 yaani Mkesha wa mwaka mpya ambapo burudani itashushwa na T.Moto Taarab wakisindikizwa na Five Stars, Coast na New Zanzibar Taarab.......Hapatoshiii!

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger