Tulisa Contostavlos Ndo Sexiest Girl wa 2012
Msanii na mwandishi wa nyimbo na filamu Tulisa Contostavlos ndo ametajwa kuwa mwanamke mwenye mvuto wa kimapenzi zaidi kwa mwaka 2012 kutokana na kupata kura nyingi zaidi kutokana na shindano lilikuwa likipigiwa kura na washabiki katika mtandao fhm wa marekani umebainisha.Muigiza huyo wa kwenye X Factor pia aliwahi kuwa member kundi la hip hop la wa trio N-Dubz. sijui wewe mbongo unaonaje? miongoni wa waliongia top 10 ni:-
- 10. Emily Atack
- 9. Mila Kunis
- 8. Keeley Hazell
- 7. Megan Fox
- 6. Katy Perry
- 5. Georgia Salpa
- 4. Rosie Jones
- 3. Rihanna
- 2. Cheryl Cole