Dada Wema na wewe "Free Mason"?!!

Ukiachilia mbali zile taarifa za kwamba Msanii wa Bongo Movie, Wema Sepetu kumiliki nyumba yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 400 za kitanzania, ambayo ndani samani tu zinazidi milioni 28, kiasi cha kufanya wadau wahoji, je ni usanii huu au kuna mengine? leo nataka wewe msomaji uingalie hicho picha hapo? jamani si tumeambiwa hizo ni ishara za hawa jamaa au?

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger