Justine Bieber ajipiga Tatoo Mpya!!


Mkali Justine Bieber amejipiga tatoo ya aina yake maeneo ya mgongoni Siku yaJuzi kama anavyoonekana katika picha hapo. Kwa Staili hii huende akamfikia Chriss Brown maana naye kila kukicha anafanya mchezo wa kuweka na kufuta tatoo.

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger