Kutana na Kim, Mwanamke mwenye uwezo wa kufika kileleni (Mshindo/Bao) mara 100 kwa siku



Katika hali ya kawaida ni jambo lisilowezekana, lakini haya ndio maisha  ya Kim Hamsey kwa sasa kwani alianguka katika ngazi mnamo mwaka 2001 na kuushtua uti wa mgongo wake, tukio hilo limemsababishia ugonjwa wa  Persistent Genital Arousal Disorder (PGAD),ambao madktari wanahangaika kuupooza maana hautibiki.
Kutokana na ugonjwa huo Kim huweza pata Mshindo (Bao) hata akiwa amekaa katika kiti peke yake au hata akisafiri muda mrefu akiwa amekaa. Anasema kuna wakati alikuwa anasifiri katika treni, ilikuwa ni safari ya dakika 45, kule kuruka ruka na kucheza cheza kwa treni kulimfanya apate mshindo ndani ya treni, alijiskia vbaya na alijitahidi kufanya watu wasimshtukie kwa kung'ata meno na kuuziba uso wake huku akiangalia dirishani.

Pia anaelezea kuna wakati humtokea anapomaliza kufanya mapenzi huendelea "kupiga bao" masaa matatu hadi manne mbele. Kwa hali hiyo anashindwa kushiriki kikamilifu katika shughuli za Uzalishaji mali kutoka na hali yake hiyo.

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger