Sina Mpango wa Kuingia katika Mapenzi Tena - Yvonne

Mwanadada Yvone Nelson muigizaji kutoka nchini Ghana amesema hayo katika page yake ya Twitter kwamba hana mpango wa kujishughulisha na mapenzi tena mara baada ya kumwagwa na mpenzi wake, muimbaji toka Nigeria Iyanya Mbuk.

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger