Chinua Achebe Afariki Dunia

Profesa Mahiri na mtunzi wa kitabu cha "Things Fall Apart" Chinua Achebe amefariki dunia. Mwandishi huyo maarufu toka Afrika Magharibi amefariki nchini Marekani alipokuwa akiishi baada ya kuugua kwa muda kidogo. Mpaka umauti unamfikia alikuwa akifundisha masomo ya Lugha katika chuo cha Brown, amefarikia akiwa na umri wa miaka 82.

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger