Milioni 13 za Wema Sepetu zamrudisha Kajala Uraiani.


-->


Msanii wa filamu za kitanzania Kajala Masanja ameachiwa huru leo mchana baada ya Msanii mwenzie WemaSepetu, kumlipia Faini ya Shilingi Milioni 13 na kumfanya asiende kutumikia kifungo cha miaka mitano jela. Kajala ambaye alihukumiwa akiwa na mumewe ambaye yeye ameenda kutumikia kifungo cha miaka saba jela kutokana na kupatikana na hatia ya kesi iliyokuwa ikiwakabili ya utengenezaji wa fedha haramu. Katika mahojiano na kituo kimoja cha radio nchini, Wema amesema kwamba anajisikia kama shujaa fulani kwa msaidia rafiki yake huyo na ilimchukua kama masaa mawili hivi kumaliza kila kitu.


Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger