Apagawa na "Sukari" ya Stella hadi kupoteza maisha!!!
-->
Stella baada ya kukamatwa |
Mwanamke mmoja huko katika jimbo la Asaba, amejikuta hatiani baada ya kumuua mwanaume alikuwa akifanya nae mapenzi bila kukusudia. Imeelezwa kuwa wawili hao walifika katika hotel moja na kukodisha chumba, lakini baada ya dakika arobaini(40) mwanamke huyo alitoka chumbani huku akipiga makelele akiomba msaada, wahudumu wa hotel hiyo walipofika chumbani walikumta mwanaume huyo ameshafariki.
Mwanamke Huyo aliyetambulika kwa jina la Stela ambaye anadaiwa kuwa ni muuza "Sukari" alikimbia eneo la tukio baada ya kuona hali imekuwa si hali tena, hata hivyo alipatikana baadae baada ya wapelelezi kutoka jeshi la polisi kuingia kazini, mwanaume huyo ametambulika kwa jina moja tu la Peter.