"Dawa Bora ya Kung'arisha Meno ni MANII" Asema Msanii wa Filamu.
-->
Muigizaji wa Filamu kutoka nchini Ghana, Yvonne Okoro amejikuta katika mzozo na baadhi ya Washabiki na Rafiki zake baada ya Kuandika katika page yake ya Twitter ya kwamba "Kitu kizuri cha kusafishia meno na kuyafanya yang'ae ni Manii za Mwanaume.
Mara baada ya kuandika hoja yake hiyo mamia ya washabiki wake wamemsema vibaya huku wengine wakimshitumu ya kwamba anataka kujiongezea umaarufu kwa kuandika maneno ya kipuuzi kama hayo.
Baada ya watu kumshukia na kauli hizo za kejeli na maudhi amewajibu kwa kusema anawahshangaa Waafrica kwa kulitafsiri suala hilo kama kubwaa sana na kuuficha ukweli kama kwamba mapenzi na manii havipo.
Pia ameitetea hoja yake kwa kusema ya kwamba, Wanasayansi duniani wamegundua ya kwamba katika Manii kuna kiwango kikubwa cha Calcium, Ambayo ni nzuri kwa kujenga na kuimarisha meno.