Mambo ya Soka na Obama
--> --> Katika Kukamilisha Ziara Yake Nchini Tanzania, Rais Obama alitembelea Kiwanda cha Nishati cha Symbion Ubungo, hapo tunaona Mzee Obama akionesha madoido kwa kuupiga mpira maalum kwa kichwa na danadana, mpira huo unauwezo wa kuzalisha Nishati ya Umeme ambayo huweza kutumika kuchajia simu na kuwasha taa,
na huchajiwa ukiwa unadunda dunda.
na huchajiwa ukiwa unadunda dunda.