Washiriki wa BBA wazidi kufanya Kufuru, Angelo na Beverly hao tena...!!!!
Video na picha zimezagaa mtandaoni zikiwaonesha wapenzi hao waliokutana katika jumba hilo wakifanya Uasherati wao, mbaya zaidi ni jinsi gani jamaa akimuingiza kidole binti huyo, bado washiriki hao hawajajifunza baada ya kile kilichomsibu Nando kwani amelalamiki kuambukizwa magonjwa ya zinaa na Selly ambaye alilala naye siku chache zilizopita. Hivi kweli, BBA imedhamiria kutufundisha nini Waafrica?