Msanii wa Filamu Hajakutana na Mwanaume Miaka 2, anahitaji Mwanaume wa Kweli.
Msanii wa Nolly Wood, Karen Igho ameandika kupitia Ukurasa wake wa Twitter ya Kwamba hajakutana na mwanaume kwa kipindi cha Miaka miwili sasa kwani anahitaji Mwanaume wa kweli wa kumuoa, Hii imetokana na wimbi la wanaume wa huko kuwakimbilia wasanii kwa lengo la wao kujipatia umaarufu na kuwabwaga, huku kukizidi kuongezeka uvunjifu wa ndoa za Mastaa kwao kila leo.