Msanii Ciara Avishwa Pete ya Uchumba
Msanii Future aliyeibuka mwaka jana na single iliyofanya vizuri kwenye radio 'Same dem Time' amemvalisha pete ya uchumba mpenzi wake star wa Rnb Ciara weekend hii.
Fahamu kuwa wasanii hawa wawili wamekuwa na mahusiano ya kimapenzi kwa zaidi ya miezi 10 sasa na Taarifa hizi alivujisha Ciara Kupitia twitter kwa kuandika Hivi."Today Has 2 Be Like One Of The Sweetest Days Of My Life! #TheBestBirthdayEver ��������" .
Ciara amevalishwa pete ya Diamond yenye Carat 12 weekend hii.
Kwa sasa Future yupo kwenye tour ya Drake "Would You Like a Tour" ata baada ya kupishana na rapper huyo walielewana baada ya muda mfupi na kuendelea kupiga kazi.
Kengete.