Angaalia Video ya sehemu ya Movie Mpya ya Dkt Cheni Ft Mchina



Dr Cheni baada ya kumtambulisha Steven shabiki wa damu wa club ya Yanga kwenye bongomovie , hivi sasa amemtambulisha mchina kwenye tasnia hiyo.

Moja ya sentensi anayosema Dr Cheni kwenye scene ambayo mchina amehusika ni hii, “Nyinyi mmekuja kuwekeza kwenye nchi yetu mnawekeza hadi kwa wake zetu”.

Angalia hii scene ambayo mchina kahusika akimchukua mke wa Dr Cheni




Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger